Changia

Changia Parokia

Karibu uchangie maendeleo ya parokia

Tunawaomba waamini wetu na watu wote wenye mapenzi mema kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo parokia yetu, hasa wakati huu tunapoendea na ujenzi wa kanisa letu.

"Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu."
2 Wakorintho 9:7

Jinsi ya kuchangia

Unaweza kuchangia kwa kutumia akaunti namba ya benki au kwa kutumia mitandao ya simu zilizo hapa chini:-

SADAKA NA UJENZI

Akaunti Namba: 00911511153801
Benki: MKOMBOZI BENKI
Jina la Akaunti: PAROKIA YA NTYUKA

ZAKA

Akaunti Namba: 00911511153802
Benki: MKOMBOZI BENKI
Jina la Akaunti: PAROKIA YA NTYUKA FUNGU LA KUMI

PROJECT ACCOUNT

Akaunti Namba: 00921811153801
Benki: MKOMBOZI BANK
Jina la Akaunti: NTYUKA PARISH PROJECT ACCOUNT

CARITAS

Akaunti Namba: 00921811153803
Benki: MKOMBOZI BANK
Jina la Akaunti: NTYUKA PARISH CARITAS ACCOUNT