Jumuiya ndogo ndongo

Utume

Jumuiya Ndogo Ndogo

Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo (JNNK) ni nguzo ya uinjilishaji na kazi zote za uchungaji. Ili kupata huduma za kiroho parokiani huanzia katika JNNK, ni viongozi wa jumuiya wanaoorodhesha wagonjwa ili wapate huduma ya kiroho, watoto na vijana wa kupata mafundisho ya dini kwa ajili ya kupata sakramenti nk. Fomu zinajazwa na kutiwa sahihi naviongozi hao kuthibitisha ustahilivu wa kupata huduma husika.

Wao ndio mlango washughuli za kikanisa kwa waamini. Kanisa mara zote imeendelea kuziimarisha JNNK kupitia semina, maadhimisho ya ibada, maandamano, hija, vipindi redioni na nyimbo kuhamasisha JNNK kushiriki kikamilifu shughuli za uinjilishaji.

Kanda na Jumuiya za Parokia yetu

Jina la Kanda Majina ya Jumuiya Zake