Taadhari juu ya magonjwa ya kuambukiza/mlipuko

Waumini tuaendelea kusisitizwa kuendelea kuchukua taadhari juu ya ugonjwa wa UVIKO-19 na magonjwa mengine ya kuambukiza.

Jinsi ya kujikinga.

Ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko/kuambukiza tunatakiwa kufuata yafuatayo:-

  • Kunawa mikono kabla na baada ya kutoka kanisani
  • Kukaa kwa kuzingatia umbali wa mita moja kati ya muamini moja na mwingine.
  • Kuepuka kushikana mikono, kukumbatiana au kugusana